UTIAJI SAINI MKATABA...
UTIAJI SAINI MKATABA WA MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MAJITAKA
21 Feb, 2023

Hafla ya Utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya Majitaka Tabora itakayofanyika Ukumbi wa Mikutano - TUWASA tarehe 22/02/2023

Mgeni Rasmi  Balozi Dkt. BATILDA SALHA BURIAN - MKUU WA MKOA TABORA.