Nifanyeje ili kuwasi...
Nifanyeje ili kuwasilisha taarifa za mabomba yaliyopasuka?

Ukiona bomba limepasuka maji yanamwagika unatakiwa kupiga namba ya bure ya TUWASA ambayo ni 0800780063 na kueleza taarifa ya eneo bomba lilipopasuka.