Bomba la Maji likipa...
Bomba la Maji likipasuka ni TUWASA mnatengeneza au Mteja?

Bomba la Mteja linapopasuka mbele ya Mita ya Maji  mteja anawajibika kulitengeneza na kuzuia maji kumwagika lakini Bomba likipasuka nyuma ya Mita ya Maji TUWASA wanawajibu wa kulitengeneza