Miradi iliyokamilika
 

ZIWA VICTORIA PROJECT

Maelezo ya Mradi: Upanuzi wa mradi wa usambazaji maji wa bomba la ziwa Victoria katika Miji ya Tabora, Nzega na Igunga.

Hali ya Mradi: Imekamilika.

Tarehe ya Kuanza kwa Mradi: 23-08-2018.

Tarehe ya Mwisho wa Mradi: 26-02-2020.

Gharama ya Mradi: Tsh. 617,205,000,000.

Kiasi cha mradi Kilicholipwa: Tsh 613,377,000,000.

Kiasi Hujalipwa: Tsh 3,828,000,000.

Mtekelezaji: Wizara ya Maji (MoW).

Chanzo cha Hazina: Serikali ya INDIA.

Aina ya Utekelezaji: Mkandarasi.