Huduma kwa Mteja

TUWASA inawajali wateja wake kwa kutoa huduma bora zinazokidhi mahitaji ya mteja, matarajio na kuridhika kwa mujibu wa Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa TUWASA. Hati hii ya Huduma kwa Wateja inayojulikana na wateja na inaeleza kwa ufupi haki na wajibu wa kila mhusika.

Ili mteja aweze kuzifahamu huduma haki na wajibu  kwetu sisi kama Mamlaka, anaweza kupakua Mkataba wa Huduma kwa Mteja kwa kubofya hapo chini:

MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA - 2022