Kusitisha na Kurejesha Huduma

 

Kusitishiwa Huduma

Wateja husitishiwa huduma kwa sababu ya kushindwa kulipa bili zao. Mkataba wetu wa Huduma kwa mteja unawaruhusu wateja kulipa bili zao za maji kila mwezi na wale walio na madeni ambayo hayajalipwa zaidi ya miezi miwili wanapaswa kusitishiwa huduma na hatua za kisheria zinapaswa kuchukuliwa dhidi yao.

Kurudishiwa Huduma

Kuunganishwa tena kwa wateja kutafanyika ndani ya saa 24 baada ya bili kulipwa na malipo ya ada ya kuunganisha tena ya Tsh 15,000/=