Wizara Ya Maji Imepanga Kutekeleza Mradi Wa Usambazaji Maji Wa Ziwa Victoria Kwa Miji ya Urambo na Sikonge. Mkataba Ulitiwa Saini Tarehe 20 Februari 2022 Kati Ya Wizara Ya Maji Na Jamhuri Ya India Kwa Ajili Ya Kufadhili Uboreshaji Wa Maji. Ujenzi Wa Mradi Utaanza Tarehe 23 Februari 2023. Kazi Itakayotekelezwa Kupitia Mradi Huo Ni Kuboresha Mifumo Ya Usambazaji Maji Na Upanuzi Wa Mtandao Wa Maji Wa Takriban Kilomita 60 Za Mitandao Ya Usambazaji. |