Tunaowahudumia

Wadau wakubwa wa TUWASA ni wateja wa maji, Wakaazi wa Tabora, Wizara ya Maji, EWURA, Taasisi za Serikali kama vile Sekretarieti ya Mkoa na Manispaa, Wazabuni, Bodi ya Wakurugenzi na Watumishi wa TUWASA.