TAARIFA YA UJENZI WA...
TAARIFA YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATIKA MJI WA KALIUA ILIYOTOLEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TUWASA ENG. MAYUNGA KASHILIMU KWA WAZIRI WA MAJI MHE: JUMAA H. AWESO (MB) TAREHE 29/07/2023
01 Aug, 2023 Pakua

Mhe. Mgeni Rasmi, Waziri wa Maji.
Kwanza kabisa nachukukua nafasi hii kukushukuru sana kwa kukubali kwako kuja kutembelea na kuweka jiwe la msingi kwenye mradi huu wa maji katika Wilaya ya Kaliua. Sote tunafahamu jinsi ulivyo na majukumu mengi ya Wizara na ya jimbo lako la Pangani, lakini umetupa heshima ya pekee na sisi tunashukuru sana.........